Fikiri kwa makini · Tatua tatizo · Rudia
Start Point Academy mwanao atajenga ujuzi wa maisha, kwa mikono yake mwenyewe.
Academy ya kompyuta, Internet na AI kwa watoto wa shule ya msingi, inayofanyika wikiendi na likizo sambamba na shule. Wanajenga michezo, programu na mifumo halisi huku wakikuza tabia ya kuona na kutatua matatizo.
Nafasi ni
chache
Usajili
unaendelea
sasa
Mtoto wako atajifunza:
Kutatua matatizo
Kufikiria kwa kimantiki
Kuprogram kompyuta
Kushirikiana na wengine
Kujenga miradi
Faida kwa mtoto wako:
- Kujiamini zaidi
- Kutumia muda wake kwa tija
- Kuwa mbunifu na mchambuzi
- Msingi imara kwa taaluma za baadaye
- Kuona teknolojia kama fursa, si burudani tu
Punguzo 20%
Watoto 16 wa kwanza