Skip to main content

Programu ya Start Point Academy

SPA ni academy ya watoto na vijana wa miaka 10–17 inayofanya kazi sambamba na shule — wikendi na siku za likizo. Kwa sasa tunaanza na Mlango 1 (miaka 10–13). Mlango 2 (miaka 14–17) inakuja 2027 baada ya validation.

Tunaiita “trial month” kwa sababu pande zote zinapata nafasi ya kujaribu bila presha — kisha tunaamua fit.

Muhula = Wiki 12

+ Quarterly Exhibition

Wikendi

Jumamosi + Jumapili (9–12)

Max 10

students per class

Tatizo → Suluhisho

Problem-first, project-based

Muhula wa Wiki 12 (Miezi 3)

Kila muhula una mzunguko wa kujenga tabia ya “maker” — kutoka wazo hadi kitu kinachofanya kazi, kisha kuonyesha.

Milango miwili

Mlango 1 (10–13) tunaianza sasa. Mlango 2 (14–17) inakuja 2027.

Quarterly Exhibition

Mwisho wa muhula, watoto huonyesha kazi halisi kwa wazazi na wageni. Utaona kazi — sio cheti.

Explorer progress

  1. 1Tatizo mbele, zana nyuma. Tunaweka “why” kabla ya “how”.
  2. 2Kujenga kitu kidogo kinachofanya kazi kila wiki (artifact ya mtoto).
  3. 3CT basics: kuvunja tatizo, kupanga hatua, kujaribu, kurekebisha.
  4. 4Tabia ya maker: curiosity + uvumilivu wa “frustration kidogo”.

CT ni nini? (What they’re really learning)

Hii ndiyo engine ya SPA: uwezo wa kuona tatizo, kulivunja, na kupanga suluhisho. Kompyuta ni zana — tabia ndiyo skill.

Decomposition

Kuvunja tatizo kubwa kuwa hatua ndogo ndogo.

Break big problems into steps.

Pattern Recognition

Kuona mifano inayojirudia ili kurahisisha kazi.

Spot what repeats, then reuse it.

Abstraction

Kuchagua kilicho muhimu, kuacha kelele.

Keep essentials, drop noise.

Algorithm Design

Kupanga hatua zinazoweza kufuatwa na mtu mwingine.

Design steps others can follow.

What Students Build (Kazi Halisi)

Hatusemi “watapata kazi”. Tunachosema ni hiki: kila muhula mtoto atatengeneza kitu kinachofanya kazi na kukionyesha.

Stories & Simulations

Interactive stories zinazoeleza wazo, au “simulator” ya tatizo halisi

Games (with a purpose)

Games zinazopimwa na “user wa nje” — si kwa mwalimu tu

Quarterly Exhibition

Mtoto anasimama na kuonyesha kazi yake — unaona, unagusa, unacheza